Call Us Today ! 024-2232695 | info@majismz.go.tz
Home / News

News

Warsha ya Uhamasishaji wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwa wanahabari iliyofanyika Hotel Verde

07 May 2026

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Nishati na Madini Joseph John Kilangi amesema waandishi wa habari wana wajibu wa kuhamisisha jamii juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ambayo ni salama kwa afya ya binaandamu. Akizungumza wakati akufungua Warsha ya uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa waandishi wa habari iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni amesema zanzibar imekuwa na nyakati ngumu ya kubadilisha mawazo ya wanajamii ili kutumia nishati safi. Aidha amesema kuwa jamii inapaswa kutumia nishati safi kwa matumizi ya kupikia ikiwemo gesi na umeme ili kujiepusha na maradhi yanayoweza kuepukika yakiwemo pumu na kifua kikuu (TB) ambayo husababishwa na moshi hutoka katika nishati za asili kama kuni na makaa ambazo jamii hutumia kwa wingi. Hata hivyo ameeleza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha wananchi juu ya matumizi sahihi ya nishati ikiwemo nishati safi ya kupikia. Amefahamisha kuwa mashirika mbali mbali yamekuwa yakiunga mkono jitihada za Serikali katika kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya nishati safi ili kuzuia uharibifu wa mazingira. Aidha amewataka waandishi wa habari kuandaa na kuanzisha vipindi na makala za kuhamasisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya nishati safi ya kupikia ili jamii ipate uelewa zaidi kuhusu nishati hiyo. Hata hivyo amesisitiza kuhamasisha jamii juu ya ukataji wa miti na kuongeza jitihada katika kupanda miti ili kukabiliana na madiliko ya tabia nchi na kupata hewa safi na salama itokanayo na miti. Akiwasilisha mada, Mkuu wa kitengo cha nishati kutoka Wizara ya Maji, Nishati na Madini Eng. SayyedOmar Abdullah Idarous amesema asilimia 58 hutumia nishati ya asili kuni na asilimia 56 hutumia makaa ambazo kwa asilimia kubwa husababisha athari kwa afya ya binaadamu.

Read More

Ministry of Water ,Energy and Minerals launches water sector policy.

26 May 2025

The Ministry of Water, Energy and Minerals has launched a new water sector policy aimed at improving access to clean and safe drinking water for all citizens.

Search

Recent Events

Rerum molestias ipsum explicabo enim error velit consectetur unde repellat.

26 May 2025

The Ministry of Water, Energy and Minerals has launched a new water sector policy aimed at improving access to clean and safe drinking water for all citizens.

Read More

Ministry of Water ,Energy and Minerals launches water sector policy.

26 May 2025

The Ministry of Water, Energy and Minerals has launched a new water sector policy aimed at improving access to clean and safe drinking water for all citizens.

Read More

Eum sapiente aut sit ut similique voluptatem voluptatibus nesciunt dolores commodi voluptas.

26 May 2025

The Ministry of Water, Energy and Minerals has launched a new water sector policy aimed at improving access to clean and safe drinking water for all citizens.

Read More

Voluptatem aut explicabo dolore itaque et inventore qui voluptatem dicta quisquam minima ex.

26 May 2025

The Ministry of Water, Energy and Minerals has launched a new water sector policy aimed at improving access to clean and safe drinking water for all citizens.

Read More